sw_tn/jdg/02/06.md

28 lines
825 B
Markdown

# Sasa Yoshua
"Sasa" imetumika kama alama ya kituo toka kwenye simulizi. Hapa mwandishi anaanza kwa kuelezea uzao wa Israeli baada ya Yoshua kuasi na kuabudu miungu ya uongo na Bwana akawaadhibu, lakini atawatuma waamuzi kuja kuwaokoa.
# Yoshua alipo ... alikufa akiwa na umri wa miaka 110
Matukio ya 1:1-2:5 yalitokea baada ya Yoshua kufa. Hapa inahesabu matukio yaliyotokea mwishoni mwa kitabu cha Yoshua.
# mahali alipopewa
"Mahali alipopewa na Bwana"
# wakati wa maisha
Ina maana ya wakati ambao mtu alikuwa hai. "wakati wa uhai"
# Wazee
Inamaanisha watu waliosaidia kuingoza Israeli, walioshiriki katika mambo ya kijamii na kidini kama vile kutii amri ya Musa.
# Walioendelea baada yake
Hii inamaanisha kuishi mda mrefu zaidi ya mtu mwingine. "Kuishi mda mrefu zaidi yake"
# Nuni
Hili ni jina la mwanamume.