# Yahweh alikuwa pamoja na watu wa Yuda
"alikuwa pamoja" ina maana ya kwamba Bwana aliwasaidia watu wa Yuda.
# Bonde
eneo kubwa lisilo na miti