sw_tn/isa/66/10.md

8 lines
423 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kuhusu Yerusalemu kana kwamba ilikuwa mama na wakazi wa Yerusalemu kana kwamba walikuwa watoto wachanga wapya.
# Kwa maana utanyonya na kutosheka; kwa matiti yake utafarijiwa
Hii ina maana Yerusalemu itakuwa sehemu ya usalama na faraja kwa watu wa Mungu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Kwa maana atakuridhisha kwa maziwa yake; atakufariji kwa matiti yake"