sw_tn/isa/65/17.md

24 lines
657 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Maana tazama
"Tambua! Zingatia kwa makini!"
# mbingu mpya na dunia mpya
Tofauti zote ambazo pia huwakilisha kila kitu katikati.
# mambo ya awali hayatakumbukwa au kuletwa akilini
Vishazi hivi viwili vina maana moja na zinaungwa kwa ajili ya msisitizo. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "hautafikiria juu ya kile kilichotokea kipindi cha nyuma"
# Lakini utakuwa na furaha
Hapa "utakuwa" ina maana watumishi wote wa Mungu.
# kutoa machozi na vilio vya dhiki havitasikiwa tena kwake
Unaweza kuelewa hii katika hali ya kutenda. "hakuna mtu atasikia machozi na kulia kwa dhiki tena kwake"