|
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza juu ya watu wa Israeli.
|
|
|
|
# Tazama, imeandikwa
|
|
|
|
"tambua na zingatia kwa makini"
|
|
|
|
# katika mapaja yao
|
|
|
|
Hii iina maana Mungu atawaadhibu kikamilifu. Msemo huu unalinganisha Yahwe kuadhibu watu kwa kutupa miguu yao wanapokaa.
|