sw_tn/isa/65/03.md

16 lines
557 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# katika bustani ... juu ya vigae vya matofali
Hii ina maana ya maeneo ya Wakaanani kwa ajilii ya kuabudu sanamu. Madhabahu yao matakatifu yalitengenezwa kwa tofali, ambayo Yahwe alikataza kwa ajili ya madhabahu yake. Madhabahu ya Yahwe ilitengenezwa kwa mawe.
# wanakaa miongoni mwa makaburi na kulinda usiku kucha
Hii ni kumbukumbu ya kushauriana na wafu, zoezi ambalo Yahwe alikataza.
# wanakula nyama ya nguruwe
Yahwe hakuruhusu watu wa Israeli kula nyama kutoka katika nguruwe.