# Taarifa ya Jumla
Watu wa Israeli wanaendelea kuzungumza na Yahwe.
# wala jicho kuona
"jicho" lina maana ya kuona kitu. "wala hakuna yeyote aliyeona"