sw_tn/isa/62/11.md

20 lines
560 B
Markdown

# Tazama
"Gundua"
# mwisho wa dunia
Sehemu za dunia ambazo zipo mbali sana zinazungumziwa kana kwamba zilikuwa sehemu ambapo nchi hufikia kikomo. Msemo huu pia unaunda neno moja kwa kundi la mambo mengi na lina maana ya kila sehemu kati ya miupaka. "sehemu za mbali za dunia" au "dunia nzima"
# binti Sayuni
"Binti" inawakilisha watu wa Yerusalemu (Sayuni).
# Tazama, dhawabu yake ipo pamoja naye, na fidia yake inakwenda mbele yake
Vishazi hivi vinawakilisha wazo moja kwa msisitizo.
# utaitwa
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda, "watakuita"