forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
467 B
Markdown
12 lines
467 B
Markdown
# Akavaa haki kama dereya ya kifuani na kofia ya chuma ya wokovu juu ya kichwa chake. Alijivisha mavazi ya kisasi na kuvaa ari kama joho
|
|
|
|
"dereya", "kofia ya chuma", "mavazi", na "joho" ni nguo kwa ajili ya vita na kupigana, Isaya anamfafanua Yahwe kama akivaa haya kuwaadhibu watu wake.
|
|
|
|
# joho
|
|
|
|
joho lililo huru, linalotiririka
|
|
|
|
# Akawarudishia maliipo
|
|
|
|
Isaya anafafanua tukio la siku za usoni kana kwamba ilitokea kipindi cha nyuma. Hii ina maana hakika itatokea.
|