sw_tn/isa/59/09.md

16 lines
685 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# haki ipo mbali kutoka kwetu
Hapa "kwetu" ina maana ya Isaya na watu wa Israeli. "Mbali" inawakilisha haki iliyotoweka na ngumu kupata. "haki imetoweka na ngumu sana kupata"
# Tunasubiri kwa ajili ya nuru, lakini tunaona giza; tunatafuta mwanga, lakini tunatembea gizani
Kila ya hii misemo ina maana ya kwamba watu wanasubiri wema wa Mungu, lakini inaonekana kana kwamba amewatelekeza.
# Tunapapasa ukuta kama vipofu ... kama watu waliokufa
Hii ina maana ya kwamba kwa sababu Mungu haji kwao, wanajisikia bila msaada, kutopata njia sahihi na kukata tamaa na siku za usoni, bila tumaina la maisha ya kusisimua.