sw_tn/isa/58/13.md

8 lines
430 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli
# unageuza miguu yako kutoka na kusafiri katika siku ya Sabato, na kutofanya starehe yako katika siku yangu takatifu
Hapa "miguu" ina maana ya safari na kazi ambayo wtu walifanya katika siku zingine zote. Mungu hakuruhusu safari ndefu au kazi katika siku ya kupumzika. "unaacha kusafiri na kufanya unachotaka kufanya katika siku ya Sabato, siku yangu takatifu"