sw_tn/isa/58/11.md

16 lines
495 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli
# kukuridhisha katika maeneo ambapo hakuna maji
"Maji" inawakilisha kila kitu wanachohitaji kwa ajili ya maisha tele hata kama mazingira yake hayana ya kutosha.
# utakuwa kama bustani iliyomwagiliwa
"Bustani iliyomwagiliwa" inawakilisha wingi ili waweze kuwa na yote wanayohitaji.
# kama chemchemi ya maji, ambayo maji yake hayakosi
"Chemchemi ya maji" inawakilisha chanzo cha wingi katika nchi ambapo maji ni ya thamani.