forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
670 B
Markdown
20 lines
670 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Isareli.
|
|
|
|
# Je! hii sio kufunga ambayo naichagua ...kuvunja kila nira?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali kufundisha watu kuhusu aina ya kufunga ambayo inamfurahisha. "Hii ni kufunga ninayochagua ... kuvunja kila nira".
|
|
|
|
# Kufungua vifungo vya waovu, kufungua kamba za nira, kuwaweka waliokanyagwa huru, na kuvunja kila nira
|
|
|
|
Misemo hii yote ina maana ya kwamba wanatakiw kuwasaidia watu wle ambao waovu na wanawaumiza na kuwakandamiza.
|
|
|
|
# Je! sio ku ... nyumba yako?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali lingine kuwafundisha watu. "Ni ku... nyumba yako".
|
|
|
|
# vunja mkate wako
|
|
|
|
Msemo huu unawakilisha kuanza mlo kwa mwenyeji kuchana mkate.
|