sw_tn/isa/58/03.md

4 lines
179 B
Markdown

# 'Kwa nini tumefunga', wanasema, 'lakini hauioni? Kwa nini tumejishusha, lakini hautambui?'
Watu wa Israeli wanatumia maswali kulalamika kwa Mungu kwa sababu wanahisi hawajali.