forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
644 B
Markdown
16 lines
644 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wasio waaminifu wa Israeli.
|
|
|
|
# Ni nani uliye na wasiwasi juu yake? Ni nani unayemuogopa sana ambaye amasababisha kutenda kwa udanganyifu ... juu yangu?
|
|
|
|
Yahwe anatumia maswali haya kukaripia watu. "Inaonekana unaogopa kabisa sanamu hizi kwako utende kwa udanganyfu ... juu yangu!"
|
|
|
|
# sana mpaka huwezi kunikumbuka au kufikiria juu yangu
|
|
|
|
Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza ya kwamba, ingawa watu walitakiwa kumkumbuka Yahwe, hawakufanya hivyo.
|
|
|
|
# Nitatangaza matendo yako yote ya haki na kusema yote ambayo umeyafanya
|
|
|
|
Yahwe anawakejeli, kwa kuita matendo yao ya uovu haki.
|