sw_tn/isa/53/05.md

16 lines
672 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kumfafanua mtumishi wa Yahwe.
# Lakini alitobolewa kwa sababu ya matendo yetu ya uasi; alipondwa kwa sababu ya dhambi zetu
Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza ya kwamba mtumishi aliteseka kwa sababu ya dhambi za watu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mungu aliwaruhusu maadui kumchoma na kumua kwa sababu ya dhambi zetu"
# Adhabu kwa ajili ya amani yetu ilikuwa juu yake
Hii ina maana ya amana na Mungu. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Alipokea adhabu hii ili tuweze kuishi katika upatanifu"
# kwa majeraha yake tunaponywa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "alituponya kwa mateso ya majeraha yake"