sw_tn/isa/52/11.md

24 lines
821 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Ondoka, ondoka
Neno hili linarudiwa kusisitiza ya kwamba watu wanapaswa kuondoka haswa, ingawa sio mara hiyo hiyo.
# Ondoka kutoka hapa
Inachukuliwa kuwa watu wa Israeli walikuwa watumwa wa Babeli. Hii naweza kuwekwa wazi. "ondoka kutoka katika nchi ambapo ni mtumwa"
# usiguse chochote kichafu
Kitu ambacho Yahwe amesema hakifai kuguswa au kuliwa inazungumziwa kana kwamba kilikuwa kichafu kimwili. "usiguse kitu ambacho hakikubaliki kwa Yahwe"
# ondoka miongoni mwake
Hapa "mwake" inawakilisha Babelii
# Yahwe atakwenda mbele yako; na Mungu wa Israeli atakuwa mlinzi wako wa nyuma
Yahwe kulinda watu wake kutoka kwa maadui inazungumziwa kana kwamba alikuwa hodari ambao huondoka mbele ya watu na hodari wanaobakii nyuma ya watu kuwalinda.