sw_tn/isa/49/22.md

12 lines
639 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na Sayuni kana kwamba ilikuwa mwanamke. Anafafanua jinsi atakavyoweza kupata watoto wengi sana.
# Nitainua mkono wanu kwa mataifa; nitainua bendera yangu ya ishara kwa watu
Vishazi hivi viwili vina maana moja. "Nitainua mkono wangu na kutoa ishara kwa bendera kwa ajili ya watu wa mataifa kuja"
# Wataleta wana wako katika mikono yao na kubeba binti zako juu ya mabega yao
Yahwe anazungumzia watu ambao wataishi Yerusalemu kana kwamba walikuwa watoto wa mji. Pia anazungumza kuhusu watu wa mataifa mengine kuwasaidia Waisraeli kurud Yerusalemu kana kwamba walikuwa wakiwabeba Waisraeli.