|
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na mtumishi wake.
|
|
|
|
# Watachunga katika barabara, na katika miteremko ya wazi itakuwa malisho yao
|
|
|
|
Yahwe anazungumzia watu kuishii kwa uhuru na kwa mafanikio kana kwmba walikuwa kondoo ambao walikuwa na malisho mengi ya kuchunga.
|