forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
374 B
Markdown
16 lines
374 B
Markdown
# Mapato ya Misri na bidhaa za Ethiopia pamoja na Waseba, wanaume wa maumbile marefu, wataletwa kwako
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "'Watu wa Misri, Ethiopia, na watu warefu wa Seba, watakuletea mapato yako na bidhaa zao"
|
|
|
|
# Mapato ya Misri
|
|
|
|
"Faida za Misri"
|
|
|
|
# Waseba
|
|
|
|
Watu hawa kutoka taifa la Seba.
|
|
|
|
# kwako
|
|
|
|
Hapa "kwako" ina maana ya watu wa Yerusalemu.
|