sw_tn/isa/45/04.md

16 lines
465 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na Koreshi.
# Yakobo ... Israeli
Zote hizi zina maana ya vizazi vya Israeli.
# Nitakuandaa kwa ajili ya vita
Maana zaweza kuwa 1) "Nitakuimarisha kwa ajili ya vita" au 2) "Nitakuandaa kwa ajili ya vita"
# kutoka katika kuchomoza kwa jua, na kutoka magharibi
Kwa kuwa jua huzama mashariki, msemo huu unaunda neno kwa ajili ya maneno mengine na ina maana ya kila sehemu juu ya dunia. "kutoka kila sehemu duniani"