sw_tn/isa/44/05.md

12 lines
229 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# mwingine ataita jina la Yakobo
"mtu mwingine atasema kuwa yeye ni uzao wa Yakobo"
# kujiita mwenyewe kwa jina la Israeli
"kujita mwenyewe uzao wa Israeli"