sw_tn/isa/44/01.md

20 lines
585 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Yakobo mtumwa wangu
Hii ina maana ya uzao wa Yakobo. "vizazi vya Yakobo, watumishi wangu"
# yeye aliyekutengeneza na kukuumba ndani ya tumbo
Yahwe anazungumzia kuumba taifa la Israeli kana kwamba alikuwa akiumba taifa kama mtoto katika tumbo lake. "yeye aliyekutengeneza, kama navyoumba mtoto ndani ya tumbo"
# na wewe, Yeshuruni, ambaye nimekuchagua
Kitenzii kinaweza kutumika kutoka kwa msemo uliopita. "na wewe, Yeshuruni, ambaye nimekuchagua, usiogope"
# Yeshuruni
Hii pia ina maana ya watu wa Israeli.