sw_tn/isa/43/24.md

16 lines
526 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# ufito wa mwanzi wenye manukato
ufito wa mwanzi wenye manukato Huu ni mmea wenye harufu nzuri inayotumika kutengeneza mafuta ya kupaka. Haikuota katika nchii ya Israeli kwa hiyo watu walitakiwa kuinunua kutoka mataifa mengine.
# umenibebesha mzigo na dhambi zako, umenichosha na matendo yako maovu
Zote hizi zina maana moja na husisitiza malalamiko ambayo Yahwe anayo kwa watu wake.
# umenibebesha mzigo na dhambi zako
"umenihangaisha na dhambi zako"