sw_tn/isa/43/01.md

4 lines
160 B
Markdown

# yeye aliyekuumba wewe, Yakobo, na yeye aliyekutengeneza wewe, Israeli
Vishazi hivi vyote viwili vina maana moja. "yule ambaye amekuumba, Ee watu wa Israeli"