sw_tn/isa/42/22.md

16 lines
525 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Lakini hawa ni watu walionyanganywa na kuporwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Lakini adui amenyanganya na kupora watu hawa"
# walionyanganywa na kuporwa
Maneno haya mawili yana maana moja na husisitiza jinsi adui alivyowapora sana.
# wote wametegwa ndani ya mashimo, kushikwa mateka ndani ya magereza
Misemo hii miwili ina maana moja. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "adui amewatega wote katika mashimo na kuwashika mateka katika magereza"