sw_tn/isa/41/19.md

12 lines
215 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza
# mihadasi ... msonobari na miti ya mvinje
Hii ni aina ya miti
# mkono wa Yahwe umefanya haya
Hapa neno "mkono" unawakilisha Yahwe mwenyewe. "Yahwe amefanya hivi"