sw_tn/isa/40/29.md

16 lines
627 B
Markdown

# Hutoa nguvu kwa waliochoka; na kwa wadhaifu hutoa nguvu mpya
Mistari hii miwili inatuma maana za kufanana na husisitiza ya kwamba Yahwe hutia nguvu wale ambao hawana nguvu.
# Hutoa nguvu
"Yahwe hutoa nguvu"
# watapaa kwa mabawa kama tai
Watu kupokea nguvu kutoka kwa Yahwe inazungumziwa kana kwamba watu waliweza kupaa kama tai wanavyopaa. Tai ni ndege ambaye hutumiwa mara kwa mara kama alama ya uwezo na nguvu.
# watakimbia na kuwatachoka; watatembea na hawazimia
Mistari hii miwili inatumia maana za kufanana. Watu kupata nguvu kutoka kwa Yahwe inazungumziwa kana kwamba waliweza kukimbia na kutembea bila kuchoka.