sw_tn/isa/37/33.md

20 lines
631 B
Markdown

# Hatakuja ... Wala hatakuja
Hapa mfalme wa Ashuru anamaanisha wote yeye na jeshi lake. "Jeshi lake halitakuja ... Wala hawatakuja"
# kwa ngao
"kwa ngao"
# tuta la kuzingira
kilima kikubwa cha mchanga kilichojengwa dhidi ya ukuta wa mji ambacho huwezesha jeshi kushambulia mji
# alikuja ... hataingia
Hapa mfalme wa Ashuru anamaanisha wote yeye na jeshi lake. "walikuja .. hawataingia"
# Hili ni tamko la Yahwe
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "tamko" lielezwa kama kitenzi "tamka" au "sema kwa dhati". "hivi ndivyo Yahwe wa majeshi alivyotamka" au "hivi ndivyo kile Yahwe wa majeshi alivyosema kwa dhati"