sw_tn/isa/37/24.md

24 lines
1.0 KiB
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Hii inaendeleza ujumbe wa Yahwe kwa mfalme wa Ashuru
# Kwa watumishi wako
Hii ina maana ya watumishi ambao aliwatuma kwa Hezekia na ujumbe. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Katika ujumbe uliotuma na watumishi wako"
# Nimekwenda ... Nitakata... Nitaingia ... Nmechimba ... Nilikausha ... miguu yangu
Hapa Senakeribu anajizungumzia kushinda vitu vingi. Kiuhalisia anawashinda kwa majeshi yake na vibandawazi. "Tumekwenda ... Tutakata ... Tutaingia ... Tumechimba ... Tulikausha ... miguu yetu"
# mierezi yake mirefu
"mierezi mirefu ya Lebanoni"
# misitu yake inayozaa zaidi
Hapa neno "inayozaa" ina maana ya msitu kuwa mzito na kujaa miti yenye afya. Maneno ambayo hayapo yanaweza kuongezwa kufanya maana kuwa wazi. "na katika msitu wake unaozaa zaidi"
# Nilikausha mito yote ya Misri chini ya nyayo za miguu yangu
Hapa Senakeribu anakuza ushindi wake na kusafiri kupitia mito ya Misri kwa kudai kukausha mito alipotembeza jeshi lake mtoni. "Nimetembeza katikati ya mito yote ya Misri kana kwamba ilikuwa nchi kavu chini ya miguu yangu"