sw_tn/isa/30/33.md

20 lines
811 B
Markdown

# Kwa maana sehemu ya kuchoma iliandaliwa zamani
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Kwa maana zamani Yahwe aliandaa sehemu kwa ajili ya kuchoma"
# sehemu ya kuchoma
Msemo huu ni maana ya neno "Tofethi". Tofethi ni sehemu katika Bonde la Hinomi, kusini mwa Yerusalemu, ambapo katika kipindi kimoja watu walichoma watoto wao kama sadaka kwa miungu ya uongo.
# inaandaliwaa kwa ajili ya mfalme
Inadokezwa ya kwamba hii ina maana ya mfalme wa Ashuru. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe aliandaa kwa ajili ya mfalme wa Ashuru".
# Rundo lipo tayari na moto na mbao nyingi
"Rundo lipo tayari kwa mbao nyingi kutengeneza moto"
# Pumzi ya Yahwe, kama kijito cha salfa, kitaiwasha moto
Hii inazungumzia pumzi ya Yahwe kana kwamba ilikuwa mto wa moto ambao utawasha rundo katika moto.