sw_tn/isa/30/01.md

28 lines
1.2 KiB
Markdown

# watoto waasi
Yahwe anazungumzia kuhusu watu wake kana kwamba walikuwa watoto wake.
# hili ni tamko la Yahwe
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "tamko" inaelezwa kama kitenzi "kusema kwa dhati". "hiki ndicho kile Yahwe anachotamka" au "hiki ndicho kile Yahwe amesema kwa dhati"
# Wanafanya mipango, lakini sio kutoka kwangu
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "mipango" iweze kuandikwa kama kitenzi "kupanga". "Wanapanga kufanya mambo, lakini hawaniulizi nini nachotaka wao kufanya"
# lakini hawakuongozwa kwa Roho wangu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "lakini Roho waangu hakuwaongoza"
# wanaongeza dhambi kwa dhambi
Kuendelea kutenda dhamb inazungumziwa kana kwamba dhambi iliikuwa maumbo ambayo yaliweza kupangwa juu ya mengine. "wanaendelea kutenda dhambi zaidi na zaidi"
# Wanatafuta ulinzi kutoka kwa Farao
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "ulinzi" inaelezwa kama kitenzi "linda". "Wanamuuliza Farao kuwalinda"
# na kufuata kimbilio katika kifuli cha Misri
Ulinzi wa Misri kutoka kwa jeshi la adui unazungumziwa kana kwamba ulikuwa kivuli ambacho hulinda mtu kutoka na joto linalochoma la jua. "wanawategemea Wamisri kuwaweka salama"