forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
767 B
Markdown
20 lines
767 B
Markdown
# Kwa hiyo neno la Yahwe
|
|
|
|
Hapa "neno" linawakilisha ujumbe. "Kwa hiyo ujumbe wa Yahwe"
|
|
|
|
# amri juu ya amri, amri juu ya amri; utawala juu ya utawala, utawala juu ya utawala; hapa kidogo, pale kidogo
|
|
|
|
Haya ni maneno ambayo makuhani na manabii walevi walitumia jinsi Isaya anawafundisha wao.
|
|
|
|
# ili kwamba waweze kuondoka na kuanguka nyuma, na kuvunjika, kutegwa na kukamatwa
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ili kwamba jeshi la Ashuru litakuja na kuwashinda na kuwachukua kama mateka"
|
|
|
|
# kuondoka na kuanguka nyuma
|
|
|
|
Watu kushindwa vitani kwa jeshi la adui linazungumziwa kana kwamba watu wataanguka chini na kuvunjika.
|
|
|
|
# kutegwa
|
|
|
|
Wanajeshi wa adui kukamata watu wa Israeli inazungumziwa kana kwamba walikuwa wawindaji ambao hushika mnyama katika mtego.
|