sw_tn/isa/28/11.md

20 lines
774 B
Markdown

# kwa midomo ya kukejeli na ulimi wa kigeni atazungumza kwa watu hawa
Hapa "midomo" na "ulimi" inawakilisha wageni ambao huongea lugha tofauti na wanayozungumza Waisraeli. Inadokezwa ya kwamba hii ina maana ya jeshi la Ashuru ambalo litashambulia Israeli. "Yahwe atazungumza kwa watu hawa kupitia majeshi ya maadui ambao wataongea lugha ya kigeni"
# midomo ya kukejeli
"midomo yenye kigugumizi"
# Haya ni mapumziko
Nomino dhahania "pumziko" inaweza kuandikwa kama kivumishi. "Hii ni sehemu ya kupumzika"
# toa mapumziko kwake ambaye amechoka
Nomino dhahania "pumziko" inaweza kuwekwa kama kitenzi. "acha yule ambaye amechoka aje na apumzike"
# hiki ni kiburudisho
Nomino dhahania "kiburudisho" inaweza kuwekwa kama kitenzi. "hii ni seheu ambayo unaweza kuburudika"