sw_tn/isa/28/05.md

28 lines
962 B
Markdown

# Yahwe wa majeshi
Yahwe wa majeshi ya Israeli.
# atakuwa taji zuri na taji lenye uzuri
Yahwe anazungumziwa kana kwamba alitakiwa kuwa taji zuri ambalo watu wanaomheshimu kama mfalme wao wa kweli wangevaa.
# taji zuri na taji lenye uzuri
Hii ina maana ya kitu kimoja. "taji zuri"
# watu wake, roho ya haki kwa ajili yake ambaye hukaa katika hukumu, na nguvu
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "haki" inaelezwa kama kitenzi "kuwa na haki". "watu". Yahwe atasababisha waamuzi kuwa na haki na kutoa nguvu"
# roho ya haki
Mtu ambaye ana "roho ya haki" ni mtu ambaye ana sifa za haki na ni mtu mwenye haki.
# hukaa katika hukumu
Lahaja hii ina maana ya mtu ambaye ana mamlaka ya kuhukumu.
# na nguvu kwa wale ambao huwageuza maadui zao katika malango yao
Hapa "kuwageukia" ni lahaja ambayo ina maana ya kushinda vitani. "na Yahwe atasababisha wanajeshi kuwa na nguvu ili kwamba wawashinde adui zao pale ambapo maadui wanashambulia mji wao"