sw_tn/isa/26/03.md

12 lines
429 B
Markdown

# Akili ambayo imekaa kwako
Hapa "akili" inawakilisha mawazo ya mtu. Pia, "kwako" ina maana ya Yahwe. Msemo "Akili ambayo imekaa kwako" ni lahaja ambayo ina maana "Mtu ambaye huwaza kwa kuendelea juu yako"
# Yah, Yahwe
Yah ni jina lingine kwa ajili ya Yahwe.
# Yahwe, ni mwamba wa milele
Yahwe kuwa na nguvu ya kuwalinda watu wake inazungumziwa kana kwamba alikuwa jiwe refu ambapo watu wanaweza kwenda kutoroka maadui zao.