sw_tn/isa/23/10.md

20 lines
1000 B
Markdown

# Lima nchi yako, kama mtu alimavyo Nile, binti wa Tarshishi. Hakuna tena soko ndani ya Tiro
Maana zaweza kuwa 1) Isaya anawaambia watu wa Tarshishi kuanza kupanda mazao kwa kuwa hawawezi tena kufanya biashara na Tiro au 2) Isaya anawaambia watu wa Tarshishi ya kuwa wapo huru kutoka na utawala wa Tiro."Pita katika nchi kama mto, binti wa Tarshishi. Watu wa Tiro hawana nguvu yoyote tena"
# binti wa Tarshishi
"Binti" wa mji inawakilisha watu wa mji. "watu wa Tarshishi" au "watu ambao wanaishi Tarshishi"
# Yahwe amenyosha mkono wake juu ya bahari, na ametikisa falme
Yahwe kutumia nguvu yake kuongoza bahari na watu wenye falme zenye uwezo inazungumziwa kana kwamba Yahwe alinyosha mkono wake na kutikisa falme.
# amenyosha mkono wake juu ya bahari
Hapa "mkono" ina maana ya nguvu na uongozi wa Mungu. "ameonyesha nguvu yake juu ya bahari"
# bikira binti wa Sidoni uliyekandamizwa
Hapa "binti bikira" inawakilisha watu wa Sidoni. "watu wa Sidoni, kwa sababu watu wengine watakukandamiza"