sw_tn/isa/22/23.md

28 lines
1.3 KiB
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kufafanua Eliakimu, ambaye atachukua nafasi ya Shebna katika kasri ya mfalme.
# Nitamkaza, kigingi katika sehemu salama
Yahwe kusababisha mamlaka ya Eliakimu kuwa na nguvu na salama katika kasri ya mfalme inazungumziwa kana kwamba Eliakimu alikuwa kigingi na Yahwe atamweka kwa uthabiti katika kuta wa kasri.
# atakuja kuwa kiti cha utukufu kwa ajili ya nyumba ya baba yake
Hapa "kiti cha utukufu" inawakilisha sehemu ya heshima. "Eliakimu ataleta heshima kwa familia yake"
# nyumba ya baba yake
Hapa "nyumba" inawakilisha familia. "familia ya baba yake" au "familia yake"
# Watamng'ang'ania yeye utukufu wote wa nyumba ya baba yake
Yahwe kusababisha familia nzima ya Eliakimu kuheshimiwa kwa sababu ya Eliakimu inazungumziwa kana kwamba Eliakimu alikuwa kigingi katika ukuta na familia yake ilikuwa kitu ambacho kinaning'inia juu ya kigingi. "Watatoa heshima kwa familia yake yote kwa sababu yake"
# kila chombo kidogo kutoka katika vikombe kwa majagi yote
Hii inaendeleza kuzungumza juu ya Eliakimu kama kigingi. Mtoto wake atakuwa kama vikombe ambavyo vitaning'inia juu ya kigingi. Hii ina maana vizazi vyake vitaheshimika kwa sababu yake.
# vikombe kwa majagi yote
Kikombe ni chombo kidogo ambacho kinashikilia maji. Jagi ni chombo kikubwa ambacho kinashikilia maji.