sw_tn/isa/21/13.md

40 lines
982 B
Markdown

# Tamko
"Hivi ndivyo Yahwe anavyotamka" au "Huu ni ujumbe kutoka kwa Yahwe"
# kuhusu Arabuni
Arabuni ina maana ya idadi ya watu wa Arabuni. "kuhusu watu wa Arabuni"
# Katika nyika ya Arabuni
Arabuni haina msitu. "mbali kutoka na barabara ya Arabuni" au "Nje katika vichaka vya Arabuni"
# misafara
kikundi cha watu wanaosafiri pamoja
# Wadedani
Hili ni kundi la watu ambao wanaishi Arabuni.
# nchi ya Tema
Hili ni jina la mji Arabuni.
# wakimbizi
Mkimbizi ni mtu ambaye hukimbia mbali ili adui wake asimkamate.
# kwa mkate
Hapa "mkate" inawakilisha chakula kwa ujumla.
# kutoka kwa upanga, kutoka kwa upanga uliotolewa, kutoka kwa upinde uliopindwa
Hapa "upanga" na "upinde" unawakilisha wanajeshi wanaoshambulia wakazi wa Tema. "kutoka kwa adui zao ambao huwashambulia kwa upanga na upinde"
# kutoka kwa uzito wa vita
Hofu kuu na mateso ambayo inapitiwa wakati wa vita inazungumziwa kana kwamba vita ilikuwa uzito mkubwa juu ya watu. "kutoka na vitisho vya vita"