sw_tn/isa/19/24.md

16 lines
772 B
Markdown

# Israeli atakuwa wa tatu pamoja na Misri na Ashuru
Majina ya mataifa matatu yanawakiliisha watu wa mataifa hayo. "Waisraeli watakuwa wa tatu pamoja na Wamisri na Waashuru"
# atakuwa wa tatu pamoja na
Maana zaweza kuwa 1) "kujiunga pamoja na" au 2) "kuwa na baraka ya tatu pamoja na" au 3) "'kuwa sawa na"
# Misri na ibarikiwe, watu wangu; Ashuru, kazi ya mikono yangu; na Israeli, urithi wangu
Majina ya mataifa matatu yana maana ya watu wa mataifa yale. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Nimekubariki, watu wa Misri, kwa sababu wewe ni mtu wangu; na nimekubariki, watu wa Ashuru, kwa sababu nimekuumba; na nimekubariki, watu wa Israeli, kwa sababu ninakumiliki kwa usalama"
# kazi ya mikono yangu
Hapa "mikono" ina maana ya nguvu ya Mungu na matendo.