sw_tn/isa/19/19.md

28 lines
951 B
Markdown

# jiwe la nguzo katika mpaka wa Yahwe
Msemo "mpaka" ina maana ya mpaka wa Misri. "jiwe la nguzo kwa Yahwe katika mpaka wa Misri"
# itakuwa kama ishara na shahidi kwa Yahwe wa majeshi katika nchi ya Misri
Nomino dhahania "ishara" na "shahidi" inaweza kuelezwa kwa vitenzi "onyesha" na kuthibitisha. "Dhabahu itaonyesha na kuthibitisha ya kwamba Yahwe wa majeshi yupo katika nchi ya Misri"
# kwa Yahwe wa majeshi katika nchi ya Misri
Yahwe kuwa katika nchi ya Misri inawakilsiha watu wa Misri kumuabudu yeye. "ya kwamba watu katika nchi ya Misri humwabudu Yahwe wa majeshi"
# Watakapomlilia
"Wamisri watakapolia"
# kwa sababu ya wakandamizaji
"kwa sababu watu wanatendea kwa ukatili" au "kwa sababu wengine wanasababisha wao wateseke"
# atawatumia mkombozi na mtetezi
"Yahwe atamtuma mtu kuwaokoa na kuwatetea Wamisri"
# atawaokoa
Nani ambaye Yahwe atatetea kwao inaweza kuwekwa wazi. "Yahwe atawaokoa Wamisri kutoka kwa wakandamizaji wao"