sw_tn/isa/14/31.md

36 lines
1.2 KiB
Markdown

# Vuma, lango; lia, mji
Hapa "lango" na "mji" inawakilisha watu katika malango ya mji katika miji. "Vuma, enyi watu katika malango ya mji; lieni, nyie watu katika miji"
# utayeyuka mbali
Kuyeyuka inawakilisha kuwa dhaifu kwa sababu ya uoga. "utakuwa dhaifi kwa uoga"
# Kwa maana katika kaskazini linakuja wingu la moshi
Hii inadokeza ya kwamba jeshi kubwa linakuja kutoka kaskazini. "Kwa maana kutoka kaskazini linakuja jeshi kubwa pamoja na wingu la moshi"
# wingu la moshi
Maana zaweza kuwa 1) hii inawakilisha wingu la vumbi ambalo jeshi hutengeneza wanaposafiri katika njia za vumbi. "wingu la vumbi" au 2) kuna moshi mwingi kwa sababu ya vitu vyote ambavyo jeshi linaangamiza na kuchoma. "moshi mwingi"
# hakuna mchelewaji katika safu zake
"hakuna aliye katika safu zake anayetembea poole pole nyuma ya wenzake"
# Je! mtu atajibu nini kwa wajumbe wa taifa hilo?
Mwandishi anatumia swali hili kutambulisha maagizo yake juu ya jinsi Waisraeli wanatakiwa kuzungumza kwa wajumbe. "Hivi ndivyo tutakavyojibu wajumbe wa Filisti"
# Yahwe ameianzisha Sayuni
"Yahwe alianzisha Sayuni"
# na ndani mwake
"na Yerusalemu" au "kule"
# walioteseka wa watu wake
"wale watu wake ambao walikuwa wameteswa"