sw_tn/isa/14/10.md

24 lines
1.1 KiB
Markdown

# Kauli Kiunganishi
Hii ni sehemu ya wimbo wa dhihaki ambao Waisraeli wataimba kwa mfalme wa Babeli. Hapa wanaimba juu ya wafalme waliokufa wa kuzimu watakavyosema kwake.
# Wote watazungumza na kusema kwako
Neno "wata" lina maana ya wafalme waliokufa wa kuzimu, na neno "kwako" lina maana ya mfalme wa Babeli.
# Ufahari wako umeletwa chini mpaka kuzimu
Wafalme waliokufa watazungumza na mfalme wa Babeli kutokuwa na ufahari tena kana kwamba ufahari wake umeshuka chini kuzimu. "Ufahari wako umekwisha pale Mungu alipokutuma hapa kuzimu"
# kwa sauti ya nyuzi za vinanda
Watu walifanya muziki kwa njuzi za vinanda kumheshimu mfalme. Wafalme waliokufa hawatawazungumzia watu tena kuheshimi mfalme wa Babeli kwa muziki kana kwamba muziki ulikwenda kuzimu. "pamoja na sauti ya watu wakicheza muziki kukuheshimu"
# Funza wanasambazwa chini yako
Funza chini ya mwili wake uliokufa inazungumziwa kana kwamba zilikuwa kitanda. "Unalala juu ya kitanda cha funza" au "Unalala ju funza wengi"
# funza hukufunika
Funza katika mwili wake wote inazungumziwa kana kwamba walikuwa wakimfunika kama blangeti. "Funza wanakufunika kama blangeti" au "Kuna funza ju ya mwili wako wote"