sw_tn/isa/05/26.md

16 lines
659 B
Markdown

# Atainua shara ya bendera kwa ajili ya mataifa ya mbali na atapiga mluzi kwa wale walio mwisho wa dunia
Isaya anasema jambo moja kwa njia mbili tofauti. Mungu kusababisha majeshi ya mataifa ambayo yapo mbali kutoka Yuda kuja na kushambulia inazungumziwa kana kwamba angeinua bendera na kupiga mluzui kuwaita kuja Yuda. "Atawaita majeshi ya mataifa ambayo yapo mbali kutoka Yuda na kuwaambia kuja"
# piga mluzi
sauti ya juu ambayo mtu hufanya kwa mdomo wake kumuita mtu au mnyama ambaye yupo mbali.
# watakuja
"jeshi la maadui litakuja"
# kwa mbio na haraka sana
Maneno haya yana maana moja na yanasisitiza jinsi watavyokuja kwa haraka. "haraka sana"