sw_tn/isa/01/31.md

16 lines
533 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Isaya anazungumza maneno ya Yahwe kwa watu wa Yuda katika mtindo wa shairi.
# Mtu mwenye nguvu
"Mtu mwenye nguvu" au "Yeyote mwenye nguvu". Hii inaweza kumaanisha watu ambao ni muhimu na wana ushawishi kwa watu wengine"
# vitu vinavyoshika moto haraka
vitu vilivyokauka vinavyowaka kirahisi
# na kazi yake kama cheche
Hii inalinganisha matendo ya mtu au kazi zake za uovu na cheche ambazo huanguka juu ya vitu vinavyoshika moto haraka na kuiwasha moto. "kazi yake itakuwa kama cheche ambayo huanzisha moto"