sw_tn/isa/01/19.md

24 lines
751 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Mungu anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda.
# Kama u mtiifu na tayari
Hapa, "tayari" na "mtiifu" inatumika pamoja kumaanisha wazo moja. "Kama upo tayari kutii"
# utakula mema ya nchi
"nchi itazaa chakula kizuri kwa ajili yako kula"
# lakini kama utakataa na kuasi
"lakini kama ukikataa kusikiliza na badala yake kutonitii mimi"
# upanga utakumeza
Neno "upanga" lina maana ya maadui wa Yuda. Pia, neno "kumeza" inalinganisha maadui wa Yuda kuja kuwaua kama mnyama pori ambaye hushambulia na kula wanyama wengine. "maadui wako watakuua"
# kinywa cha Yahwe kimesema hivi
Neno "kinywa" kinasisitiza ya kwamba Yahwe amasema na kile anachosema hakika kitatokea. "Yahwe amezungumza" au "Yahwe amesema ya kwamba hiki kitatokea"