sw_tn/isa/01/14.md

24 lines
977 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Isaya anazungumza maneno ya Yahwe kwa watu wa Yuda katika mtindo wa shairi.
# mbala miezi yenu mipya, na sikukuu mlizochagua
Maneno "mbala miezi mipya" ni mfano wa maneno kwa sherehe za mwezi mpya. Pia ni maneno yenye maana sawa na sherehe za kawaida. "sherehe zako za mbala miezi mipya na sikukuu zingine mpya"
# mbala miezi mipya
Mbala mwezi mpya ni pale ambapo mwezi unapoanza kutoa mwanga baada ya kuwa giza.
# ni mzigo kwangu; nimechoka kivivumilia
Hii inalinganisha namna Mungu anavyojisikia kuhusu sherehe za watu kwa kubeba kitu kizito. "wao ni mzigo mzito ambao nimechoka kuubeba"
# ninaficha macho yangu kwako
Lahaja hii niu njia ya kusema "Sitakutazama" au "Sitakutazama kwa uangalifu"
# mikono yako imejaa damu
Hii ni sababu ambayo Mungu hatasikia maombi yao. Damu inawezekana kumaanisha vurugu ambayo wamefanya dhidi ya watu. "kwa sababu ni kama mikono yako imefunikwa na damu ya wale uliowadhuru" au "kwa sababu una hatia ya vurugu"