sw_tn/heb/12/25.md

896 B

Sentensi Unganish:

Baada ya kulinganisha uzoefu wa Waisraeli katika Mlima Sinai na uzoefu wa waumini baada ya Kristo kufa, mwandishi anawakumbusha waumini kwamba wana Mungu yuleyule anayewaonya leo. Hili ni onyo la tanzo kwa waumini.

Maelezo ya Jumla:

Hii nukuu inatoka kwa nabii Hagai katika Agano la Kale.

usije ukamkataa anayeongea

"msikilizeni anaye ongea.

kama hawakuepuka

"kama watu wa Israeli hakuepuka hukumu"

aliyewaonya duniani

Pengine 1) Musa aliye waonya duniani." au) Mungu aliyewaonya katika Mlima Sinai"

kama tukigeuka kutoka kwa yule anayetuonya

Kutmtii Mungu kunaongelewa kana kwamba mtu alikuwa akigeuka na kutoka kwake. "kama tusipomtii yeye anayeonya"

sauti yake iliitikisa ardhi

"Mungu alipoongea mlio wa sauti yake ilisababisha ardhi kutikisika"

ilitikiswa... tikisa

tumia neno ambalo tetemeko la ardhi inafanya katika kuitetemesha adrhi.