sw_tn/heb/12/18.md

1.2 KiB

Sentensi Unganishi:

Mwandishi anakinzanisha katika waumini wakati wa Musa walipaswa kufanya chini ya sheria na kile ambacho waumini wa sasa wanapaswa kusihi baada ya kuja kwa Yesu chini ya agano jipya.

Maelezo ya Jumla:

Maneno haya "ninyi" "Nyie" inamaanisha waumini wa Kiebrania ambao mwandishi anawaandikia. Neno "wale" linamaanisha watu wa Israeli baada ya Musa kuwaongoza kutoka Misri. Nukuu ya kwanza inatoka katika maandishi ya Musa. Mungu anafunua katika ukurasa huu katika Waebrania kwamba Musa alisema alitetemeka alipoona mlima.

kwa kuwa hamkuja katika mlima ambao unaweaz kuguswa

kwa kuwa hamjafikia, kama watu wa Israeli walivyokuja, mlimani ambao unaweza kuguswa"

ambao unaweza kuguswa

Hii inamaanisha waumini katika Kristo hawajafikia mlima kama Mlima Sinai ambao mtu anaweza kugusa au kuona.

hamjafikia sauti ya tarumbeta

"Hamjafikia mahali ambapo palipo na mlio mkubwa wa tarumbeta"

au kwa maneno yatokanayo na sauti ambayo ilisababisha kila waisikiayo wasiombe neno lolote kusemwa kwao

"sauti" inamaanisha mtu anaye ongea. pale ambapo Mungu anaongea kwa namna ya kwamba wale waliosikia walimtaka asiongee neno jingine kwao"

kilichoamliwa

'kile ambacho Mungu aliamuru"

lazima apigwe kwa mawe

"ni lazima uiponde"