sw_tn/heb/11/17.md

649 B

alipojaribiwa

"pindi Mungu alipomjaribu"

kwake ambaye ilikuwa imesemwa

"kwake ambaye Mungu alisema"

Kutoka kwa Isaka uzao wako utaitwa

"Ni katika uzao wa Isaka amabao Mungu atafikiri uzao wako.

kuongea kwa mafumbo

namna ya kuongea." Hii ina maana kwamba mwandishi anachosema kisichukuliwe kama tukio ambalo linatokea kimwili. Mungu hakumleta Isaka kutoka kwa wafu.Lakini Abrahamu alikuwa anataka kumdhabihu Isaka wakati Mungu alipomzuia, ilikuwa kana kwamba Mungu alikmrudisha kutoka kwa wafu.

Alimpokea tena

"Abraham alimpokea Isaka tena

ilikuwa kutoka kwao

"ilikuwa kutoka kwa wafu

alimpokea

"Abrahamu alimpokea Isaka"